Saturday, February 18, 2012

Posted by GLOBAL on February 18, 2012 at 5:08pm 2 Comments
Afisa uhusiano wa kampuni  ya simu za mkononi ya Airtel Jane Matinde

akizungumza kwa niaba ya Airtel juu ya udhamini wao na kushirikiana na

lotary club katika kampeni ya kupunguza ajali barabarani kwa kuepusha

matumizi ya simu wakati wa kuendesha na kutoa ushauri kwa wateja na

watanzania kutumia vifaa maalumu vya kuongelea au kuegesha magari yao.
Meza kuu kabla ya kufanya uzinduzi wa kampeni usalama barabarani

iliyoandalia na lotary club na…

iliyoandalia na lotary club na kushirikiana na jeshi la polisi usalama
barabarani na Airtel Tanzania iliyofanyika Serena Hotel Dar es Saalam
na kuhudhuriwa na Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani (SACP)
Mohamed Mpinga, Pichani (watatu kutoka kushoto) na wapili kushoto ni
Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde

0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts