Saturday, February 18, 2012


Posted by GLOBAL on February 18, 2012 at 3:03pm 0 Comments
Mabondia wa Uzito wa juu, Obadia Mwangi kutoka Kenya (kushoto) na Alphpnce Mchumiatumbo wa Tanzania, wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito, Dar es salaam mabondia hawo watapambana kesho katika ukumbi wa Frensi Kona Manzese katikati ni Mratibu wa pambano hilo Huseni Omari.   
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts