
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya
Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo
kwa njia ya kisasa (zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini
hapo. Rais Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani
kwake, pia analima pia mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya
hiyo. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza.
PICHA NA…


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo kwa njia ya
kisasa (zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini hapo. Rais
Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani kwake, pia
analima pia mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya hiyo. Kulia
kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment