Thursday, February 5, 2015

Na Imelda Mtema/Ijumaa
Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo.
Msanii wa filamu anayeonekana kuwa moto, Ester Kiama.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha kipaji chake anaonekana kama ameingia kujiuza kama wanavyofanya baadhi ya wasanii wasiojitambua.
“Mimi bwana siyo mburula, nimeingia kwenye filamu ili kuonesha kipaji changu na wala si kuja kuuza sura wala kujiuza, wanaojiuza ni haohao, hivi mimi naanzaanzaje?” alisema Ester ambaye amefanya kweli kwenye filamu ya  Ngoma Ngumu inayotarajiwa kuingia mtaani wakati wowote.

0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts