Wednesday, February 4, 2015









Mwanamke, Bahati Ramadhani anayeidaiwa kumgonganisha mumewe na mchepuko.
Makubwa!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mke wa mtu aliyekuwa akiishi ukweni na
mumewe wa ndoa, Bahati Ramadhani, amenusurika kuuawa na ndugu wa mumewe
wakiwemo mawifi na wakwe zake baada ya kudaiwa kumgonganisha mumewe na
mchepuko wake na kujikuta wakigombea mtoto.
Tukio
hilo la kushangaza lililojaza kadamnasi lilijiri nyumbani kwa wakwe hao,
Mtaa wa Mawenzi jirani na Soko la Matunda la Mawenzi la mjini hapa wiki
iliyopita ambapo Bahati alikuwa akiishi na mumewe, ldd Yusuf. 
Ilielezwa kwamba wanandoa hao walibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume (jina kapuni) ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 2. 


Polisi
akimbana kwa maswali mwanamke huyo kuhusu utata uliotokea. Siku ya
tukio, mama mkwe wa Bahati, Faidha Cosmas alishtukia dili baada ya kuona
sms ya mwanaume ‘aliyeseviwa’ kwa jina la Saddy kwenye simu ya Bahati
ikimweleza kwamba alikuwa amemtumia fedha za matumizi ya mtoto wao
huyo. SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts