Malkia wa mipasho Bongo, Khadija Omar Kopa, akitumbuiza kwenye uzinduzi huo. Baadhi ya waimbaji wa TOT Taarab wakiwa katika viti tayari kwa kutimiza jukumi lao. Kiongozi wa Mashauzi Clasic Band Isha Ramadhani, akitumbuiza. Waimbaji wa mashauzi Clasic Band wakiwa kazini. Wacheza Kiduku wa Mashauzi Clasic Band wakikamua. Baadhi ya mashabiki waliohudhulia katika uzinduzi huo wakiselebuka kwa raha zao.
BENDI za muziki wa mwambao Bongo, Tanzania One Theater Taarab ‘TOT
TAARAB’ na Mashauzi Classic Band, usiku wa kuamkia leo kwa pamoja
zimezindua tamasha la Usiku wa Taarab ndani ya ukumbi wa Dar Live.
Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo litakuwa likifanyika
ukumbini hapo kila Jumatano. Habari/ Picha: Musa Mateja/GPL
Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia..
Phone:0717962720/0767962720
Email:mputae@yahoo.com
:mputae@rocketmail.com
0 comments:
Post a Comment