Saturday, April 7, 2012


Msanii wa maigizo nchini Dr Chen (katikati) akitoa ufafanuzi juu ya michango ya msiba huo.…
Msanii wa maigizo nchini Dr Chen (katikati) akitoa ufafanuzi juu ya michango ya msiba huo.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu.
Pichani juu ni badhii ya mashabiki wa Kanumba waliopoteza fahamu na kudondoka chini baada ya kupata taarifa za kifo chake cha ghafla.
Miss Tanzania Happiness Magesa akimtuliza mmoja wa waombolezaji.
Umati wa waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Kanumba.
Mbuge wa Ubungo John Mnyika (Kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Global Publishers Eric Shigongo, (Kulia) ni  ndugu Abdallah Mrisho.
Diwani wa Sinza Mr Simple (Kushoto) akiteta jambo na Mbunge wa Ubungo Mh: John Mnyika.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Clouds FM, Ruge Mtahaba (aliyesimama) akimsikiliza Mhe:John Mnyika Mnyika.
Waombolezaji mbalimbali wakifarijiana kuhusu msiba wa kushitua wa Kanumba.
Msanii mahiri wa fialmu nchini tanzania Steven Kanumba, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kusukumwa na mpenzi wake wakiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam. Mpenzi anayedaiwa kuwa nae amefahamika kwa jina la Lulu. Nyumbani kwa Marehemu Kanumba kumefurika waombolezaji wengi sana ambao wamefika kuomboleza msiba huo huku wengine wakija kuhakikisha kama habari ni za kweli.
(PICHA: Imelda Mtema, Erick Everist, Issa Mnally/GPL)
                            Chanzo na Globalpublishers

0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts