Thursday, June 7, 2012

Makambako
Mnamo majira ya saa tatu hivi gari moja yawaka moto,chanzo bado hakijatambulika bado.
Jitihada za kuuzima moto huo ziliishia patupu maaana vifaa vilivyokua vikitumika ni mikono kwa ajili ya kuzoa mchanga na kuzimia moto huo

Hakuna kilichookolewa labda funguo tu ya gari


0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts