Friday, April 12, 2013

wwwmputa-jiliwaze.blogspot.comUkijijua huna malengo na mtu mwambie tu ukweli ajue anakaa style gani kwenye mapenzi, ukiahidi mtu wewe ndo wangu wa kufa na kuzikana (ndoa) anakaa kama tungunya anakunja na nne kwenye sofa, kumbe unampotezea muda tu, anapata watu wa maana wanakuja na vyeti vyao mikononi anawatoa nduki na maneno mdomoni yanamtoka akijua daktari wake yupo, kumbe mtu mwenyewe hata muhimbili hujaenda umedanganya wewe dokta, ghafla tumbo lamsokota ndo unamwambia wewe sio dokta....!!!Kama ni mtu wa kupass time mwambie ili akae kama yuko kwenye stuli ya counter baa, muda wowote akipata daktari anaruka nae...!! acheni kuwapotezea watu muda kama huna future nae mwambie tu kwamba wewe ni mwamvuli thamani yako masika yakija, jua likiwaka jikatae.....Au sio jamani?mmekalisha watu kwenye sofa wanajua wamefika kumbe wako on Transit (gari zinaplate namba za IT)

0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts