Monday, February 20, 2012



Mkuu wa Gereza la Njombe, Fortunatus Ntani (kushoto) akitazama baadhi ya nakala za magazeti aliyokabidhiwa kwa ajili ya kuwapa wafungwa kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Jumuiko la Wanahabari Tanzania (TAJOA), Simon Mkina. TAJOA imeanzisha programu ya kuwahabarisha wafungwa (HakiHabari) na imeanzia Njombe wakati mkakati ni kuwafikia wafungwa weng zaidi nchini.
Mwenyekiti Mtendaji TAJOA, Simon Mkina, akiwaeleza kitu maofisa wa magereza Njombe baada ya kukabidhi magazeti kwa ajili ya wafungwa kujisomea. TAJOA hutoa habari bure.
Mwenyekiti Mtendaji TAJOA, Simon Mkina,na Makamu Mwenyekiti Fredy Kihwele, wakiwa na maofisa wa magereza Njombe baada ya kukabidhi magazeti kwa ajili ya wafungwa kujisomea. TAJOA hutoa habari bure.

0 comments:

Post a Comment

Mr.Mputa

You are welcome in this blog you ca get us through..
Mobile+255717962720
+255767962720
Njombe Iringa Tanzania

TANGAZO

Karibuni katika Blog ya Jiliwaze hapa utapata mambo mbali mbali yakufunza na kuonya na kama unahitaji kutengenezewa email,facebook ac,page ama blog wasiliana nasi kupitia.. Phone:0717962720/0767962720 Email:mputae@yahoo.com :mputae@rocketmail.com

Popular Posts